NEWS


Brand New Single: Msikilize Dale-shpapii hautajuta: hivi ndio vipaji vipya Tanzania
Nina uhakika utakuwa umewasikia wasanii wachanga na wanaochipukia kwa sasa katika game ya muziki Tanzania, wakiwemo Dale pamoja na Ksorap&Time.
sasa fanya kumsikiliza Dale ambae mara ya kwanza alitoa ngoma DALE DALE na saa hii amekuja na single moja hatari "Shpapi" akiwa peke yake kuonyesha zaidi uwezo wake katika mziki. hebu chukua dakika zako kadhaa kumsikiliza na tupitia